Mashabiki wa muziki wa Nicki Minaj kaeni mkao wa kula kwani malkia wa hiphop ametangaza rasmi tarehe ya kuachia albamu yake mpya ya The Pinkprint.
Albamu hiyo inakuja baadaya Pink Friday: Roman Reloaded aliyoitoa mwaka 2012 .
Nicki Minaj kabla ya kutumbuiza katika “Fashion Rocks alisema ataachia albamu hiyo kipindi cha Thanksgiving , November 24.
Albumu hiyo ina vibao kama “Pills N Potions” , “Anaconda,” ambayo ipo namba 3 katika chati za Billboard
Hot 100.
Wednesday, September 10, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment