Kwa kawaida katika ufungwaji wa ndoa mkono hutumika kupokea maagizo ama kutoa shukurani?
This sounds like a whole new spin on the tradition of prearranged
marriages in some countries.
Katika sehemu moja ya nchi ya India,kijiji cha Jharkhand,binti mdogo wa miaka 18 kwa jina la Mangli Munda ameozshwa kwa mbwa na familia yake ili kumlinda kishetani anayesemekana kumuandama.
Binti huyo aliyeolewa kwa harusi kubwa iliyoandaliwa na wazazi wake alionyesha kutofurahishwa na kuchaguliwa mume wa aina hiyo japo katika mila zao huwezi pinga wazazi.
Taarifa zaidi zinasema harusi hiyo ilisimamiwa kidete na mama wa binti huyo,Munda ameolewa na mbwa aitwaye Sheru.Mbwa huyo aliwasili katika harusi kama wanavyofanya mabwanaharusi wengine,gari la kifahari na kupambwa"
0 comments:
Post a Comment