Aliyekuwa mchumba wa bondia Floyd Mayweather,Shantel Jacksonamemfungulia mashataka boxer huyo kwa kili alichokisema amewahi kumpiga, kumshambulia mara kwa mara na kufikia hata kumtishia kumfyatulia risasi.
Jackson amesema mara ya kwanza waligomana na Floyd mwaka 2012 siku chache baadaya bondia huyo kutoka jela kwa ugomvi na mwanamke mwingine.
Jackson anasema walibishana na bondia huyo kumtegua mkono kwa kuunyonga.
Jackson amesema waligombana tena na Mayweather April
2013 tena akamnyonga mkono na kama haitoshi akatishiwa kufyatuiwa risasi kwa kuulizwa achague kidole gani cha mguuni kipigwe.
Mara nyingine Jackson anasema alivuliwa pete ya uchumba kwa kutishiwa kwa bastola.
Jackson ia amesema Mayweather alimuingilia katia faragha zake baada ya kutuma picha yake katika mitandao ya kijamii na kuandika,tumeachana na mrembo huyu sababu ameharibu mimba ya mapacha wetu. Jackson na Mayweather waligombana tena mwezi Febmwaka 2014 huko L.A.baada ya Shantel kusema anaondoka ndipo alipofosiwa kubaki na kufngiwa ndani.
Friday, September 5, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment