Krayzie Bone alikuwa njia panda (Crossroads) na sasa ameamua kuishi maisha ya ndoa.
Rappa huyo wa The Bone Thugs-N-Harmony amemuoa aliyekuwa mpenzi wake wa miaka 13, siku ya jumatano tarehe 8/10 na kufanya sherehe ndogo ya siri huko L.A. courthouse
Wawili hao wamebarikiwa kupata watoto wa 3,Nathan, Malaysia and Anthony.
Krayzie pia ana watoto wawili wa kike toka kwa mpenzi wake wa mwanzo.
Friday, October 10, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment