Mashabiki wa Niki Minaj wanatakiwa kuwa na subira kidogo,rapaa huyo ametengaza kusogeza mbele tarehe ya uzinduzi wa albamu yake ya The Pink Print kwa wiki tatu zaidi.
Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari the Young Money queen amesema albamu hiyoataitoa siku ya jumatatu,December 15 tofauti na tarehe iliyopangwa hapo hawali ya November 24.
Nicki anatarajiwa kuiachia new single yake “Only” ambayo kawashirikisha Drake, Lil Wayne,na Chris Brown leo jumanne tarehe 28 October 28. Track hiyo imekuwa produced na maproducer Dr. Luke, Cirkut, J Mike.
0 comments:
Post a Comment