Dr. Conrad Murray amemaliza kutumikia kifungo chake cha miaka minne kwa kusababisha kifo cha mfalme wa pop ulimwenguni,Michael Jackson.
Mtandao wa TMZ unaripoti Dr huyo aliachiwa alfajiri ya leo,jumatatu.
Dr. Conrad Murray alianza kutumikia kifungo mwezi november tarhe 11 mwaka 2010.
Habari zaidi zinadai mipango ya Murray akitoka ilikuwa ni kupigania medical license yake na kuvihusisha vyombo vya habari kurudisha imani kwa wateja wake.
Monday, October 28, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment