Quincy Jones alikuwa producer na ni rafiki wa karibu sana wa Michael Jackson,amevitaka Sony
Entertainment na MJJ Productions kumlipa dola millioni 10kwa kili alichokiita malipo ya This Is It film
ya mwaka 2009 na kutumika kwa vipande vya video Bad katika anivesary ya miaka 25th ambavyo originally vilitengenezwa na Quincy Jones.
Quincy Jones amefungua kesi ya madai hayo siku ya ijumaa tarehe 26,na kusema kilichomkasirisha ni kutumika kwa kazi zake bila kumkumbuka hata kwa kumpa salamu za heshima.
Monday, October 28, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment