Kama ilivyokuwa kwa Kanye West na Kim Kardashian,jarida la The Associated Press limeripoti rappa Future amvalisha pete ya uchumba Ciara.
Tukui hilo lilitokea wikiendi hii wakati wa sherehe ya siku ya kuzaliwa ya Ciara,28th birthday.
Sherehe ndogo ya sapraiz ilifasnyika huko New York City ambapo tunataarifiwa Ciara alivishwa pete yenye almasi karat 15.
Na hichi ndicho alichokiandika Ciara kwa Twitter akaunti yake:
“Today Has 2 Be Like One Of The Sweetest Days Of My Life! #TheBestBirthdayEver,
“If I’m Dreaming I Don’t Want To Wake Up..Aaaaaahhh!!!:).”
Monday, October 28, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment