Chris Brown ametoka jela na amebadilishiwa mashitaka yaliyokuwa yakimkabili
kwa tukio lilitokea huko Washington D.C.
Mtandao wa TMZ unaripoti Chris Brown na bodigadi wake wametoka jela baada ya kukutwa hawana kesi ya kujibu kama ilivyosemekana kwamba walimshambulia mtu mmoja kwa makonde usoni.Ushahidi unaonyesha Chriss Brown na mlizi wake walikuwa mbali na tukio hilo.
Familia na marafiki wakaribu akiwamo Trey Songz walifika mahakamani kwaajili ya kumpa moyo Chriss Brown.
Tuesday, October 29, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment