Boss wa G.O.O.D Music,Kanye West amesema mipango ya harusi na Kim Kardashian ipo mezani.
Kanye West ameoongelea nini kilichomchewsha kumvisha pete ya uchumba Kim K
"Kanye amesema Kim K alikuwa anajua ntamvisha pete ila hajui lini,nilishughulilikia mipangp ya pete ila tatizo lilikuwa pete gani itamtosha,mpaka siku naenda kumvisha pete alikuwa anajua namfanyia sapraize ya birthday yake,na nilitembea na pete za aina 4 tofauti,ile iliyomtosha niliipata kwa sonara Lorraine [Schwartz] masaa manne kabla ya tukio.
Tuesday, October 29, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment