Nicki
Minaj hajataka kupoteza muda kuweka mambo wazi juu ya kile kinachosemekana kujihusiha kimapenzi na members wenzake wa YMCMB Drake
na Lil Wayne.Nicki ameyasema hayo katika mistari ya wimbo wake mpya ''Only'' aliowashirikisha Drake, Wayne na Chris Brown.Nicki Minaj amekuwa katika minong'ono kwamba anashiriki kimapenzi na Drake na Lil Wayne.
Wimbo huo utapatikana katika albamu mpya ya Nicki
Minaj,The Pinkprint, ambayo itazinduliwa Dec 15 tofauti na ilivyotajwa awali kwamba itakuwa mittaani mwezi November.
0 comments:
Post a Comment