Mkali wa miondoko ya muziki wa kizazi kipya,Rich Mavoco amesema hajutii na wala hatojutia uamuzi wake wa kufanya video ya gharama.Akiongea na mwandishi wa blogu hii Mavoco amesema,aoni sababu ya kujutia kutoa fedha nyingi na kufanya kazi yenye ubora wa hali ya juu na kazi iliyofanya na director mzalendo,Adam Juma aka A J wa kampuni ya Visual Lab.Rich ameongeza kusema tayari ameshaanza matunda ya kufanya video ya kiwango cha juu kwani ukiachilia mbali vituo vya televisheni vya nyumbani na Africa mashariki,video yake imeshaanza kuchezwa katika vituo vikubwa vya televisheni dunuiani kam MTV,Chanel O,Trace nk.
Rich Mavoco pia ameongelea swala la wasanii wa muziki wa kizazi kipya kupeana connection ili kuutangaza na kuufikisha mbali muziki na siyo kuzibania.
Thursday, October 9, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment