Star wa hit song “Blurred Lines” Robin Thicke ameshindwa kumzuia mkewe asiondoke.Hayo yamejidhihirisha baada ya Paula Patton ambaye ni mkewe Robin Thikle na wamedumu ktika ndo kwa miaka 9 kufungua kesi ya madai ya talaka.
Mtandao wa udaku wa story za watu maharufu, TMZ, umeandika,muigizaji Paula Patton ambaye ni mkewe Paula Patton anataka tallaka na haki zote za kulea mtoto wao wa kiume,Julian mwenye umri wa miaka 9.
Patton amefungua kesi hiyo ya madai ya kutaka apewe talaka bila kuelezea sababu za msingi juu ya nini kilichpelekea kufikia uamuzi huo.
Robin Thicke aliongelea kulega kwa mapenzi yao alipokuwa ktika interview na mtagzaji wa kituo cha radio cha Hot 97 ′'Ebro in the Morning”mwezi July, ambapo Thicke
alikiri kutoonana na mkewe kwa takribani miezi minne.
Thursday, October 9, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment