Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, October 31, 2014


T.I. ambaye ni kiongozi wa kundi la The Hustle Gang,iliyowasaini B.o.B,Travi$ Scott, na Australian rapper,Iggy Azalea,ameongelea beff la Iggy Azalea vs. Nicki Minaj na ziara ya Hustle Gang .
Akiongelea beef linalowahusisha  Iggy Azalea vs. Nicki Minaj,T.I amesema: there’s no real beef, and even left the door open to a collaboration,akimaanisha haoni kama kweli kuna beef na milango ipo wazi kwa marapa hao wakike wakali kushirikiana.Wao wakiwa tayari kitachobaki ni sisi iongozi wao ambao ni T.I na Lil Wayne kubariki kazi yao.
T.I amesema anaamini Iggy hana tatizo na Nicki kama ilivyo upande wa Nicki asivyo na tatizo na Iggy.
T.I pia amezungumzia kuhusu ziara ya muziki ya ''Hustle Gang tour'',amesema anajaribu kufanya kazi na B.o.B, T.I., Iggy Azalea, Travi$ Scott na hivi karibuni tutawatangazia lini na wapi ziara itafanyika.”

0 comments:

Post a Comment