Chris Brown amefikia makubaiano ya kufuta kesi zilizokuwa zikimkabili,kuanzia ile ya Washington D.C. na hata ile ya ugomvi na Frank
Ocean na watu wake akiwamo binamu yake Sha'keir aliyefungua kesi.
Kuhusu tukio la Washington D.C ambapo star huyo alipojikuta katika ugomvi na wanaume wawili baada ya kupiga picha na mashabiki,imemgharimu kiasi cha dolla 100,000 kumalizana na kufuta kesi.Katika kesi nyingine iliyofunguliwa na binamu wa Frank Ocean,Sha'Keir Duarte,hapo hawali Brown alitakiwa kumlipa dolla millioni 3 lakini wamemalizana kwa Brown kulipa dolla 20,000 tu.
0 comments:
Post a Comment