Ni rasmi na ni ndani ya wiki tatu kutoka sasa J. Cole ataachia albamu yake mpya 2014 Forest Hills Drive.Albamu hiyo inatakiwa kwa oda za awali katika iTunes na imepangiwa kuachiwa December 9. Katika kuthibitisha hayo Cole ameandika: ““What up? My New Album is finished,”It’s called 2014 Forest Hills Drive and it’s very special to
me. It’s available everywhere on 12/9. This time I’m releasing no
singles, just the album. See you in 3 weeks. Thank you for the love and
support.”
Monday, November 17, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment