Kanye alionekana airport na alipouliwa na waandishi a habari kwamba anenda wapi,alijibu anaelekea China kushughulikia maswala ya Adidas.
Kanye West ambaye anaonekana kubadilika tabia kutoka kuwachukia waandishi na wapiga picha,bnaadaye akafunguka zaidi kwamba pamoja na maswala ya Adidas pia alisema anaenda kumalizia albamu yake ya Yeezy's.
Kanye alionekana akitabasamu huku akijibu maswali huku waandishi wakigwaya kumuuliza juu ya analichikiliaje swala mkewe kupiga picha ya uwazi na kutokea uurasa wa mbele wa jarida.
0 comments:
Post a Comment