Lil Wayne and Nicki Minaj ,Iggy Azalea,Pitbull wametangazwa kutumbuiza katika sherehe za utoaji wa tuzo za mwaka 2014 za American Music.
Rappa wa kike,Iggy Azalea ndiye anayeongozwa kutajwa kuwania tuzo katika vipengele vingi zaidi,kwani ametajw mara 6 ikiwemo ya New Artist Of The Year na Favorite Female Artist (Pop/Rock). kupitia wimbo wake “Fancy” ambayo pia itawania tuzo ya Single Of The Year.
Wengine wanaowania tuzo hizo ni sambamba na Beyonce, Eminem, John Legend, Pharrell Williams, Chris Brown na Drake.
Lil Wayne na Nicki Minaj wataungana na mastar Mary J. Blige, Fergie, Imagine Dragons, Ariana Grande, Iggy Azalea na Pitbull atakuwa akiongoza shughuli hiyo.
Tuzo za American Music Awards zimepangwa kufanyika siku ya jumapili November 23 katika ukumbi wa the Nokia Theatre huko Los Angeles.
0 comments:
Post a Comment