Snoop Dogg ana mtazamo tofauti kuhusu kinachoendelea katika muenendo mzima wa tuza za Grammys.Rappa huyo kutoka West Coast amwachana waandaaji watuzo za Grammys kwa kuupotosha muziki wa Hipo hop na kuwapa nafasi wasio na uhalisia wa na muziki huo.
Snoop Dog amesema hayo na kutoa mfano kwa rappa mweupe, Macklemore ambaye ana tuzo nne za Grammys yaani ni zaidi ya ma rappa borra kama Tupac, Notorious B.I.G., DMX, Busta Rhymes, Rick Ross, Run-D.M.C., Kendrick Lamar, Public Enemy na hata Snoop mwenyewe.
Snoop Dogg ambaye hajawahi kushinda tuzo hiyo ameongeza kusema inatakiwa kutoa nafasi kwa wanaofanya Hiphop ya kweli
0 comments:
Post a Comment