Kufuatia tukio la Kanye West kupanda jukwani kwaajili ya kukosoa kupewa tuzo ya albamu bora Beck badala ya Beyonce siku ya jumapli (February 8 ) katika sherehe za utoaji wa tuzo za Grammy, Rappa 50 Cent amemkosoa Kanye West na kusema Beck alistahili tuzo hiyo kutokana na ubora wa albamu yake ya hisMorning Phase dhidi ya albam ya Beyonce inayokwenda kwa jina lake,Beyonce.Akisisitiza utetezi wake juu ya Beck alisema,Beck anastahili kupewa tuzo hiyo kutokana na ubora wa albamu yake ambaye ameandika na kuipika mwenyewe tofauti na albamu ya Beyonce iliyopikwa na maprodicer 11.
Na katika habari nyingine rappa 50 Cent aloipohojiwa juu ya maoni yuake kuhusu mpambano kati ya mabondia Floyd Mayweather na Manny Pacquiao. 50 Cent amesema hategemei kuona mpamnao huo unafanyika,amesema asilimia ni chache mnoa za kuamini kama mpambano huo utafanyika kutokana na kile alichokiita uoga uliokithiri wa bondia Floyd Mayweather.50Cent amesema bondia Mayweather anamhofia kama kifo bondia Manny Pacqiao.
0 comments:
Post a Comment