Mastaa kibao walihudhuria maonyesho ya wiki ya mitindo New York siku ya alhamis.Rappa Kanye West alikuwa akizindua Yeezy adidas Originals.
Mstari wa mbele kabisa wa sehemu ya waliohudhuria ulipambwa na mastaa wakubwa wa muziki wakiwamo Beyoncé, Jay Z, Rihanna, Diddy, Cassie, 2 Chainz na mwandishi mhariri wa jarida la Vogue Anna Wintour. Pop queens RiRi na Bey walipiga picha ya pamoja wakiwa backstage,pia miamba wa hip-hop,Jay Z na Diddy walimpongeza Kanye West ka ubunifu wake.
Tazama sehemu ya wanamitindo waliovalia sehemu ya ubunifu wa Kanye West hapo chini:
0 comments:
Post a Comment