Solange Knowles amefunga pingu za maisha na mchumba wake wa miaka 5 ambaye ni mtayarishaji wa video za miziki yake.
Solange Knowles, mwenye umri wa miaka 28, ameolewa na mpenzi wake huyo Alan Ferguson, mwenye umri wa miaka 51, siku ya jumapili Nov. 16 na sherehe kufanyika huko New Orleans na kuhudhuriiwa na Beyonce, 33, Jay Z, 44 na mtoto wao Blue Ivy, marafiki wa karibu,ndugu na jamaa.Maharusi waliwasili katika ukumbi wa Marigny Opera House huko New Orleans wakiwa wamevalia suti/gauni nyeupe huku wakiendesha baiskeli zilizopakwa rangi nyeupe.
Tazama picha zidi hapo chini:
0 comments:
Post a Comment