Tyga alijikuta katika wakati mgumu siku ya jumanne pale wanausalama wa LAPD walipozuia shughuli ya uchukuaji wa video ya wimbo wake.
Taarifa zinasema Tyga alikuwa akichukua video kitumbuiza nje ya duka lake kubwa la nguo la lililopo Melrose Ave,ndipo alipojikuta akishindwa kuwamudu na kuwadhibiti mashabiki wengi waliojitokeza kutaka kuonekana katika video hiyo ikabidi polisi wafike eneo la tukio na kutawanya mashabiki hao na kuzuia zoezi hilo kwa ujuimla.
Inasemekana idadi ya mashabiki waliofika ilizidi watu 1000,hata hivyo piloisi waliwatatanya tu na hawakukamata yeyote.
Hii ni ile video aliyokuwa akishuti Tyga siku ya jumatatu ikampelekea kukamatwa na wanausalama wa barabarani baada kuonekana akiendesha gari ovyo.
Wednesday, November 12, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment