Rappa Tyga alikamatwa na kundi la mapoilisi na wana usalama alipokuwa akirekodi video ya wimbo huko South Central L.A.Rappa huyoalikuwa akishuti video katika gari aina ya Rolls-Royce na alikuwa amewapakia watu wengine.
Wanausalama wa LAPD wapatao 6 walimsimamisha Tyga kwa kosa la kuendesha gari ovyo (reckless driving).
Taarifa zinadai rappa Tyga aliachiliwa baadaye lakini wanausalama walimdhikilia mlinzi wake ambaye alikutwa na kosa la kuwa na silaha ambayo haijasajiliwa California.
Tuesday, November 11, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment