Rappa anayetamba na baada ya kushirikishwa na Jeremy katika track ''Don't tell em,YG ametangaza kuachia filamu fupi na soundtrack aliyoipa jina Blame It On The Streets. mwezi ujao.
Rappa huyo toka pande za Compton, California am,esema project yake mpya inatarajiwa kuachiwa mwezi
December tarehe 15. Kipande hich cha filamu kitakuwa na dakika 30 ambapo mashabiki watapata nafasi ya kuona maisha halisi ya rappa huyo na muziki.
Filamu hiyo itachukuliwa huko Los Angeles, New
York City na Atlanta.YG na A$AP Ferg leo wameachia wimbo mpya "This Side."
0 comments:
Post a Comment