Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, November 13, 2014

Hit-Boy
The super-producer,Hit-Boy ametangaza kustaafu shughuli za kuzalisha muziki.
Hit Boy ametangaza uamuzi wake huo kupitia akaunti yake ya Twitter siku ya jumatano na kuandika: “I retired from music industry production last night,”akimaanisha nimestaafu shughuli za uzalishaji wa muziki tangu jana usiku.
 Hit Boy mwenye umri wa miaka 27 alipata umaarufu mkubwa baada ya kutengezeza wimbo wa Jay Z na Kanye West wa mwaka 2011 “Ni**as in Paris” iliyokuwa katika albamu yao ya pamoja,Watch the Throne, na baadaye kufanya kazi na superstars kama Beyoncé, Rihanna, Drake, Mariah Carey, na Kendrick Lamar,
Nyingine ni "Stronger"(Mary J. Blige),"Drop the World Lil Wayne featuring Eminem,"Lay It on Me"
Kelly Rowland featuring Big Sean,Cold" Kanye West featuring DJ Khaled,"I Wish You Would" DJ Khaled featuring Kanye West and Rick Ross,"Clique" Kanye West, Jay-Z and Big Sean,"Scream & Shout" (Remix)
(will.i.am featuring Britney Spears, Lil Wayne, Waka Flocka Flame, Hit-Boy and Diddy),"XO"Beyoncé,"Trophies"
(Young Money featuring Drake)

0 comments:

Post a Comment