Leo ni kiama 10 tangu rappa mwanachama wa kundi la maarufu la muziki wa hip hop duniani,Wu-Tang Clan , Ol' Dirty Bastard .
Katika kumkumbuka na kumuenzi,jarida la habari za kiburudani nchini marekani, XXL,limeongea na baadhi ya wanachama wa kundi la Wu-Tang Clan.
Mmoja kati ya wanachama wa kundi hilo,RZA amesema Dirty alisababisha mabadiliko katika hip hop na kukibadilisha kizazi ukionacho kinang'ara katika muziki wa Hip Hop,na hayo yamejidhihirisha ukitazama mziki wa Hip
Hop ulivyokuwa kabla nasasa ambavyo watu wanatengeneza mkwanja mrefu.
Raekwon
alimuongelea Ol' Dirty Bastard msukumo wake wa kuifanya hiphop biashara na kufungua milango ya biashara kuwa kubwa katika kiwanda ch muziki.
Wakakti wanachama wenzake wakimuenzi kwa maneno ya heshima,mambo ni tofauti kwa aliyekuwa mke wa rappa huyo (Icelene Jones) na wanafamilia,ambao wameoekana wakiilalama pale walipohojiwa na waandishi wa habari kwa kusema,wapo katika wakati mgumu tangu waondokewe na mtu waliyekuwa wakimtegemea,wengine wanajiingizia mapesa kasoro sisi.Naye mtoto wa rappa huyo,
Friday, November 14, 2014
Young Dirty Bastard, amesema ana mpango wa kufanya kitu kikubwa katika kuenzsanaa ya baba yake na tayari ameshaongea na baadhi ya ma rapa wapo tayari kushiriki.
.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment