Mtu wa karibu na rappa Tyga aliongea na waandishi wa TMZ na kuwaambia,Tyga alimuomba mrembo aliyekuwa mpenzi wa Dtrake,Dollicia Bryan afanye naye video ya wimbo wake "Make It Work" wimbo ambao una mistari inayomponda rappa Drak,ili wamuumize.
Hiki kinakuwa kama kisasi kwani rappa Drake amekuwa akionekana karibu katika mitandao ya kijamii na mama mtoto wa rappa Tyga,Blac Chyna.
Friday, November 14, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment