50 Cent alielezea kile alichokipost kupitia akaunti yake ya Instagram ambapo kilisababishwa na mtindo wa rappa Wiz Khalifa kuweka rangi ya zamabrau nywele zake alipokuwa akihojiwa na mtandao wa Hollywood Life.
50 anasema aliipost ile picha kwasababu likiuwa inachekesha na nilicheka mpaka nikalia,50 amesema marappa wanachagua mitindo ya kuonekana mpaka inafikia wanachekesha ama wamnakuwa vituko,ona mtu amefikia kuweka rangi ya zambarau katika nywele zake.
50 Cent pia alipost picha ya Snoop Dogg aliyovaa kofia ya zambarau na kuifananisha rangi ya rasta za Wiz Khalifa.
50 Cent pia aliulizwa kuhusi maisha ya mahusiano ya Justin
Bieber baada ya kutangazwa kuachana na Selena
Gomez na kuonekana akila bata na kupiga picha na warembo wengine.
50 Cents amesema:“Be friends,"Friendship is the strongest form of a relationship, and take your time…
If you look at the top of the Fortune 500 companies, you’ll see they
took their biggest losses in investment in friendship. They’ve been
married. They’ve been divorced. They gave the money up.”
0 comments:
Post a Comment