Miley Cyrus na mtoto wa muigizaji filamu nguli wa Hollywood, Patrick Schwarzenegger wameamua kuyaweka wazi mahusiano yao baaada ya wawili hao kuonekana wwakikumbatiana na kupigana mabusu siku ya alhamisi usiku katika mechi ya mpira wa miguu ya USC.Muimbaji huyo wa “Wrecking Ball” mtoto huyo wa Arnold,wamekuwa katika mahusiano ya kujificha tangu tangu mwaka 2013 pale Miley alipoachana na Liam Hemsworth.
Wawili hao walipigwa picha ya kwanza pamoja siku ya sikukuu ya Halloween asubuhi numbani kwa Patrick.
0 comments:
Post a Comment