Albamu ya 8 ya Rihanna imekuwa ikipikwa kisiri sana ila kwa taarifa za hivi karibuni kutoka kwa wapishi wa albamu hiyi zinasema inawezekana ikaachiwa mwaka huu.
Taarifa toka kwa Dj wa Dash Radio, DJ Skee,zimesema Rihana tayari ameshatengeneza nyimbo 10 katika studio mbalimbali hukoNew
York City na kuna uwezekano wa albamu yake kutoka kabla ya mwaka 2015.
Rihanna, ambaye alijitoa studio za Def Jam na kuhamia Roc Nation mwaka 2013, amekuwa studi akipika nyimbo zake na maproducer DJ Mustard,
Ester Dean, Ne-Yo,nk.
Saturday, November 15, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment