Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, December 3, 2014

 
Lady Gaga amefunguka juu ya kuwahi kukutwa na mkasa wa kubakwa akiwa na umri wa miaka 19.Lady Gaga ameyasema hayo alipokuwa katika mahojiano ya radio katika kipindi cha "The Howard Stern Show" siku ya jumanne.
Lady Gaga amesema amepitia mengi na yakutisha na kusikitisha katika maisha yake na akiyafikiria ama kuyakumbuka anabaki anacheka japo si kwa kufurahi,amesema amepitia matibabu ya akili,afya kimwili na mengineyo.
Gaga ameongeza kusema ukiusikiliza muziki wake ni mzuri ila ana kumbukumbu mbaya sana za maisha yake ya hawali,matatizo ya kubakwa mara kwa mara yalianzia shuleni akiwa na umri wa miaka 19 na kutochukua hatua zozote kwa kudhani hayo ndiyo yalikuwa maisha stahiki kwa umri ule.
Lady Gaga amesema alitoa wimbo "Swine" wimbo uliohusu mambo ya manyanyaso ya kimaumbile,kijunsia,ubakaji na mengineyo yanayoendana na hayo.
Gaga amesema alivyobakwa hajwahi kumfata wala kusema popote kwani hakujua cha kufanya na hata leo akikutana naye hajui atamchukulia uamuzi gani kwani mara ya mwisho alikutana naye dukani na alijihisi kuishiwa naguvu.
ubakaji : ugaidi wa kingono

0 comments:

Post a Comment