Albamu mpya ya rappa J Cole ''The "2014 Forest Hills Drive" ina track ambayo imevuja inayoitwa "Fire Squad" ambayo ina madongo kwa mastar kama Eminem, Macklemore & Iggy Azalea.
Katika track hiyo J Cole anarap: “History inarjirudia,ni sawa kama marapa hawa wanavyogezana mitindo ya kurap sawa na nigga Elvis alivyiofanya rock ‘n’ roll /ndicho wafanyacho
Justin Timberlake, Eminem na Macklemore.J. Cole pia amempiga dongo hata rappa wa kike mwenye asili ya Australian, Iggy Azalea
kwa kusema wakati wengune wanawaza nani atavikwa taji itafikia wakati tutaenda kutazama utoaji wa tuzo tukijiuliza tuzo atapewa Iggy Azalea gani?
Lakini mwisho J. Cole anamaliza kwa kusema kama ulikuwa mzaha.
Albamu mpya ya rappa J Cole ''The "2014 Forest
Hills Drive" inakuja baada ya rappa huyo kutoa albamu yake Born Sinner, ilyotoka June 2013 na mauzo yake yalifikia gold.
0 comments:
Post a Comment