Rihanna alihushuria maonyesho ya British Fashion Awards,
England London Coliseum.Rihanna ni mpenzi wa mambo ya mitindo na huwa na vituko katika mitindo,mara hii muimbaji huyo mahiri alivalia koti la suti
lililomzidi aina ya tuxedo blazer toka kwa m bunifu Stella McCartney bila ya kuvaa nguo ya ndani na kuzua mtafaruku kwa mapaparazz.
Thursday, December 4, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment