Rappa na m bunifu wa mitindo,mume wa Kim Kardashina,Kanye West ametangaza kwamba kuna uwezekano akastaafu shughuli za muziki.
Akiongea na waandishi wa kipengele cha Page Six e cha mtandao wa NYpost,Kanye west ambaye ametangaza kufanya ziara ya muziki mwaka 2015,amesema ana mpango wa kustaafu shughuli za muziki na kujikita zaidi katika shughuli za ubunifu na mitindo.
Kanye west ameongeza kusema ataachana na shughuli za muziki baada ya kufanya kazi (collaboration] na Paul
McCartneyKanye West amelipwa kiasi cha dolla millioni 15 aliposaini mkataba na adidas na bidhaa zake bado kutoka kwasababu hakupata muda wa kutosha kufanya ubunifu wa bidhaa hizo sababu ya muda aliyowekeza katika muziki.
Thursday, December 4, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment