The saga continues.Baada ya kuchanwa na rappa Tyga, Busta Rhymes na
Mystikal,nyota wa YMCMB Lil Wayne naye amefunguka kuwa anataka kuondoka katika lebo hiyo.
Kupitia akaunti yake ya tweeter siku ya alhamis, Weezy aliongelea alamu yake ambayo imekuwa ikisubiriwa muda mrefu ya Tha Carter V, ambayo ilitakiwa kutoka December 9, haitotolewa kwasababu Birdman na Cash Money wamekataza isitolewe.
Weezy amefikia kujiita mfungwa kutokana na kukosa uhuru wa kuamua mambo yake na kuomba radhi kwa mashabiki waliokuwa wakisuburia ka hamu albamu yake.
Kufuatiwa malalamiko hayo,rappa Pusha T amemshauri Weezy aachane na Cash Money na ahamie G.O.O.D. Music.
Friday, December 5, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment