Kanye West na mkewe walikuwa na wakati mzuri wakati wakifika huko D.C.siku ya jumapili.
Wakiwa kiwanja cha ndege tayari kutaka kuingia kwaajili ya kuondoka kiwanjani hapo,akatokea shabiki mmoja akiwa na picha mkononi akitaka isainiwe na Kanye West.
Kanye West alimpokea kwa tabasamu tofauti na tabia yake ya zamani,ndipo shabiki huyo alipotoa picha inayomuonyesha mke wa rappa huyo ambaye ni Kim Kardashia akiwa ndani ya gauni la harusi aliyofunga na mumewe wa hawali waliyetalikiana naye,Kris Humphries,Kanye West bila kukasirika akamwambia shabiki huyo ''siwezi kusaini picha ya harusi isiyo yangu''.
Tazama pichi hiyo hapo chini:
Monday, January 26, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment