Pongezi kwa Paulina Vega,mrembo toka Colombian kwa kutwaa taji la Miss Universe 2014.
Miss Jamaica akijibu swali lamwisho,alitoa salamu za pongezi kwa aliowaita mashujaa na waliolitea sifa taifa la Jamaica,Bob Marley na Usain Bolt
Miss Tanzania Miss South Africa Miss Kenya
Miss Jamaica
0 comments:
Post a Comment