R&B superstar Chris Brown alikuwa akitumbuiza huko San Jose nightclub jana jumapili katika tamasha lililoandaliwa na kituo cha redio cha Hip hop cha 106KMEL.
Wakati akichengua kwa kutumbiza mida ya saa 7:20 za usiku,ghafla ilisikia milio ya risasi na kuwafanya watu kuchanganyikiwa na kukimbia huku na kule tukio ambalo linaripotiwa watu watano walijeruhiwa kwa risasi na kukimbizwa hospitali a hakuna aliyepoteza maisha.
“Katika kudhihirisha yupo fiti na hakudhurika na shambulizi hilo la risasi,R&B superstar Chris Brow kupitia akaunti yake ya Tweeter aliandika ''I’m 100,” he later tweeted (na baadaye aliufuta ujumbe huo).
Monday, January 12, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment