Je Rihanna anatoka na Leonardo DiCaprio?
Hilo ndilo swali ambalo wengi wanajiuliza baada ya wawili hao kuonekana wakiwa pamoja na karibu wakila bata.Mara ya mwisho mastaa hao kuonekana wakiwa karibu na pamoja ni juzi tarehe 10 jan ndai ya jumba la Playboy.“Uvumi huu unap0ewa kipaumbele kutokana na kauli aliyoitoa Rihanna kwamba hafikirii kuwa na mpenzi mwanamuziki tena katika maisha yake.
Tarehe 11 Jan ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa star Leonardo DiCaprio hivyo kulikuwa na sherehe iliyofanyika katika jumba la kifajari la Playboy.Wachunguzi wa mtandao wa udaku wa mastaa wa marekani wa TMZ,wamesema mastaa hao Leonardo Dicaprio walikuwa karibu mno kama watu wenye mahusiano ya kimapenzi.
0 comments:
Post a Comment