The R&B superstar,Usher amemchumbia mchumba wake na meneja wake,Grace Miguel.
Usher, 36 ameripotiwa kumchumbia mpenzi wake huyo wa wa tangu mwaka 2009 ambaye pia ni meneja wake Grace Miguel,45,(tofauti ya miaka 9).
Akiongea na Billboard October mwaka jana,Usher alisema:“I have an incredible partner and manager,”,“She has helped me through some of the hardest times in my life and my career.”
Usher ana watoto wawili wa kiume,Usher “Cinco” Raymond V,7 na Naviyd Ely Raymond,6 aliowapata kwa mkewe wa zamani Tameka Foster ambaye alitalikiana naye mwaka 2009.
0 comments:
Post a Comment