Wakati wasanii nchini Tanzania wakilitupia kisogo swala la kuuza record zao kwa albamu na kelekeza nguvu zaidi katika matamasha,msanii toka America Nicki Minaj kupitia albamu yake mpya ya Pink Print iliyotoka mwezi December imefikisha mauzo ya Gold (yaani ameuza zaidi ya nakala 500,000 kwa mujibu wa Nielsen Music)
Albamu ya The Pinkprint imefikisha mauzo ya nakala 509,000 baada ya kushika nafasi ya pili katika chati za Billboard Hot 200
Albamu zote tatu za mwisho za Nicki zimeweza kufikisha mauzo ya Gold kwa mujibu wa chombo kinachohusika na kazi hizo cha Recording Industry Association of America (RIAA). Pink Friday: Roman Reloaded ilivuka mauzo ya Gold na kufikia platinum baada ya kuuza nakala zaidi ya (905,000) ,huku albamu ya kwanza ya Nicki, Pink Friday iliuza zaidi ya nakala (1.93 million) is
Tuesday, February 24, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment