Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, February 9, 2015

Beyoncé and Jay Z
Sherehe za tuzo za Grammy za 57 ziilifanyika jana jumapili feb8 katika ukumbi wa Staples Center huko Los Angeles. Beyoncé na Sam Smith waliongoza kutajwa kuwania tuzo hizo mara 6 huku Iggy Azalea, Usher, na Sia walitajwa kuwania tuzo hizo mara 4.
Beyoncé alizoa tuzo 2 na hivyo kukamilisha idadi ya tuzo za Grammy alizowahi kuchukua kufikia 19 hivyo ameingia katika historia ya kuwa mwanamke namba 2 kuwahi kuchukua tuzo hizo mara nyingi zaidi.
Kendrick Lamar baada ya kuokosa tuzo za mwaka jana,kwa mara ya kwanza mwaka huu ameondoka na tuzo 2 za bestRap Song naest Rap Performance ka wimbo wake ''i''.
Katika hali isiyokuwa ya kawaida rappa Kanye West kwa mara nyingine amezitoa kasoro tuzo hizo lakini mara hii ni tofauti na mwaka 2009 alivyopanda jukwaaani na kumpora kipaza sauti Tailor Swift,mara hii rappa huyo ametoa dukuduku lake alipohojiwa na waandishi wa televisheni wa E! 
Na hiki ndicho alichokisema Kanye West:“I just know that the Grammys, if they want real artists to keep coming back, they need to stop playing with us. We ain’t gonna play with them no more,” he said. “We tired of it. When you keep on diminishing art and not respecting the craft, and slapping people in the face after they deliver monumental feats of music – you’re disrespectful to inspiration.”Na alipouliwa kwanini hakupanda jukwaani alijibu:sikupanda jukwaani kutoa dukuduku langu kwasababu sikutaka kuiponza familia yangu wala makampuni anayojiusisha nayo na mavazi na mitindo,ila ataendea kupambana kuutetea ubuni”,na katika hali  isiyokuwa ya kawaida rappa huyo alionekana akiwa karibu na Tailor Swift.
   Tazama orodha ya baadhi ya washindi wa tuzo hizo hapo chini:
ALBUM OF THE YEAR: Beck – Morning Phases
RECORD OF THE YEAR: Sam Smith – “Stay With Me”
SONG OF THE YEAR: Sam Smith – “Stay With Me”
BEST POP SOLO PERFORMANCE: Pharrell Williams – “Happy (Live)”
BEST SURROUND SOUND ALBUM: Beyoncé – Beyoncé
BEST MUSIC VIDEO: Pharrell Williams – “Happy”
BEST RAP PERFORMANCE: Kendrick Lamar – “i”
BEST RAP/SUNG COLLABORATION: Eminem feat. Rihanna – “The Monster”
BEST RAP SONG: Kendrick Lamar – “i”
BEST RAP ALBUM: Eminem – The Marshall Mathers LP 2
BEST R&B PERFORMANCE: Beyoncé feat. Jay Z – “Drunk in Love”
BEST R&B SONG: Beyoncé feat. Jay Z – “Drunk in Love”
BEST URBAN CONTEMPORARY ALBUM: Pharrell Williams – G I R l BEST R&B ALBUM: Toni Braxton and Babyface – Love, Marriage, & Divorce












0 comments:

Post a Comment