Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, June 30, 2015

 LOS ANGELES, CA - JUNE 28:  Professional boxer Floyd Mayweather, Jr. (L) attends the 2015 BET Awards at the Microsoft Theater on June 28, 2015 in Los Angeles, California.  (Photo by Christopher Polk/BET/Getty Images for BET)
Jarida la Forbes la nchini marekani limetoa orodha ya majina ya washereheshaji walioningiza kwanja zaidi.
Katka orodha hiyo mwanamasumbwi Floyd Mayweather ametajwa kuongoza na kushika namba moja huku majina makubwa katika hiphop kukosekana katika 10 bora.
Tazama orodha hiyo ya 10 bora hapo chini:
1. Floyd Mayweather ($300 million) 2. Manny Pacquiao ($160 million) 3. Katy Perry ($130 million) 4. One Direction ($130 million) 5. Howard Stern ($95 million) 6. Garth Brooks ($90 million) 7. James Patterson ($89 million) 8. Robert Downey Jr. ($80 million) 9. Taylor Swift ($80 million) 10. Cristiano Ronaldo ($79.5 million)
Puff Daddy ameshika namba 21 kwa kuingiza kiasi cha dolla millioni 60kupitia miradi ya Ciroc vodka na kuwekeza katika vyombo vya habari kama Revolt.Jay Z na mkewe Beyonce wametajwa nafasi za 28 na 29, kwa kujiingizia kiasi cha dolla millioni 56 na54.5 Jay Z kupitia miradi kama Roc Nation, na kampuni yake ya sports agency.Dr. Dre is No. 73, akiwa na dolla millioni 33 bosi huyo wa The Aftermath alikuwa mwana,uziki wa hiphop wa kwanza kutajwa bilionea kufuatia mauzo ya Beats Audio kwa Apple

0 comments:

Post a Comment