Bosi Rick Ross" alikuwa selo kwa siku kadhaa kufuatia maosa ya kujeruhi,kuteka na kutishia maisha ikiwa ni siku saba tu tangu ajigomboe selo kwa makosa ya kukamatwa na bangi.
Ross'
jana alipata dhaana katika mahakama ya mwanzo huko Fayette County, Georgia ambapo hakimu alitaka kilipwe kiasi cha dola millioni 2 ambazo rappa Rick Ross alimudu kwani alijidhamini kupitia mali zake zikiwemo jumba la kifahari alilolinunua kwa bondia Evander Hollyfield.
Thursday, July 2, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment