Marapa Drake na Meek Mill wanaendelea kupamba vichwa vya habari baada ya marapa hao kuingia katika bifu lililoanzisha na rapa Meek Mill baada ya kumchana Drake kwama huwa anaandikiwa nyimbo zake.Drake alijibu mapigo ya kashafa hizo kwa kutoa wimbo aliouita ''Charged Up'' kama dongo kwa Meek Mill ambapo rappa Meek Mill aliubeza wimbo huo kwa kusema ni ''Soft like baby lotion'' akimaanina ni laini kama losheni ya watoto.Ikikiwa ni siku nne tu zimepita tangui Drake kachia diss track hiyo,rappa huyo ameachia dongo lingine kwa freestyl aliloliita “Back to Back”.
Bifu ya marapa hawa inafuatiliwa na mashabiki wengi na timu zao zimekuwa akiwapa matumaini kama ilivyo timu za hapa bongo.Beef inalipa katika hiphop.
Thursday, July 30, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment