Rappa Jay Z amemsaini soka star Jerome Boateng katika kampuni yake ya Roc Nation Sports inayojihusiha na maswala ya uwakala wa wanamichezo.Jerome Boateng anakuwa mchezaji mpira wa miguu wa kwanza kusainiwa katika kampuni hiyo ya rappa Jay Z inayojihusiha na uwakala wawanamichezo.Jérôme Agyenim Boateng ni mcheza soka mjerumani ambaye kwa sasa anakipiga ndani ya kilabu cha Bayern Munich kama mlinzi wa kati japo anawezo mkubwa a kucheza nafasi ya full back.Jerome Boateng alizaliwa tarehe 3 September 1988
Uingereza ambako alichezea kilabu cha Manchester City mpaka mwaka 2011 alipochukuliwa na kilabu cha Bayern Munich.
Jerome Boateng ni mdogo wa Kevin-Prince Boateng, ambaye ansomeka kama Prince anayekipiga katika kilabu cha FC Schalke 04.Jerome na Prince Boateng ni watoto wa baba Mhana na mama Mjrumani,ambapo Jerome amefuata kwa mama na anachezea timu ya taifa ya ujerumani na Prince anachezea timu ya taifa ya Ghana.
0 comments:
Post a Comment