RiRi ni manukato mapya yaliyoanzishwa na muimbaji mahiri Rihanna baada ya kufanya vizuri sokoni na maukato ya awali kama Rogue Love na Rogue Man ya mwaka 2014,Ruge na 777 Nude by Rihanna Diamonds ya mwaka 2013,Nude and Rebelle ya mwaka 2012 na Reb’l Fleur ya mwaka 2010.Manukato mapya ya RiRi yatapatikana katika ujazo na ukubwa waaina 3 tofauti na yanatarajiwa kuwa madukani mwezi september.
0 comments:
Post a Comment