Mzee Ojwang alikuwa muigizaji marufu Kenya kupitia kipindi cha TV cha Vitimbi kwa takribani miaka 40.
Mzee Ojwang alitangaza kufariki wiki mbili zilizopita na mipango na ratiba za mazishi tayari vimeshatajwa kwamba watu watapata nafasi ya kutoa heshima zao za mwisho katika uwanja wa Nyayo na kisha atazikwa huko katika makaburi ya Lang’ata.
0 comments:
Post a Comment