Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, July 29, 2015

Kama inavyondelea Bongo wasanii wa filamu na maigizo,wanamuziki kutangaza nia kuwania nafasi mbalimbali za uongozi,huko marekani rappa mwenye vituko na mwingi wa matukio ya kuvunja sheria,Chief Keef ametangaza nia ya kuwania umea wa mji wa Chicago kupitia akaunti yake ya Twitter jana (July 27).
Rappa Chief Keef aliwaomba mashabiki kumpigia kura kwa kuandika:"I'm running for mayor of Chicago," Chief Keef writes. "Vote for me!!!! It'll be the best thing done yet!!!!! Yall gonna love me in the Office."
"Call Mayor of Chicago @rahmemanuel  312-744-5000 and tell him to stay the f..k off the people's music," .

0 comments:

Post a Comment